Lyrics Litawachoma – Zuchu feat. Diamond Platnumz

Habiby louzii
Kipenzi changu cha ngama
Mi ma wewe hadi milelee
Komesha wachokozii
Wabaki kututazama
Tuwatoe jasho la nywele
Mhh, nimesikia khabari
Eetii kuna mtu twamkera
Oooh, mbona akae tayari
Maana bado muvi hili trelaaaNa usiku nikumbate
Oooh my baby boo
Kwa gego ning’ate nga’te
You know i love you
Nikizidi ugomvi unichape
Silaha runguu
Kwenye joto nipepee
Mwandani wanguuu
Penzi letu kwao fayaa
Na litawachoma sana mhhh litawaumaa
Na litawachoma sana eh kwa roho mbaya zenu
Na litawachoma sana ooh na hatuachanii
Na litawachoma sanaa
Mhh ada
Kinachotakasa nafsi huba si sabunii
Kwangu usiwe na wasi nishaacha uhuni
Ada kama moyo jiko basi we ndo wangu kuni
Mapenzi soka nipe pasi ntie nyavuni
Tena wasikutishe kwa jumbe zao za kata
Mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata
Mahaba ni tashtiti na baby unayajua
Siwezi fanya ya shishi uchebe kukubutua
Waambie na ibilisi
Kwetu wanajisumbua
Huu mfupa kashindwa fisi
Wao paka utawaua
Dodoo dodo
Nimeokota dodo
Litaemkera ni shauri zake
Simba nimelipata dodo
Nimeokota dodo na mjani wake
Oh mi mwenzenu dodo
Litaemkera ni shauri zake
Na litawaсhoomaNa litawachoma sana mhhh litawaumaa
Na litawachoma sana eh kwa roho mbaya zenu
Na litawachoma sana
Ooh na hatuachanii
Na litawachoma sanaa
Asa baby nichezeshe ngondo
Ngondo ngondoigwa ngo
Ah tulicheze ngondo
Ngondo ngondoigwa ngo
Eeeh timbwili timbwili tutimbwilike
Ngondo ngondoigwa ngo
Mpaka kupambazukee
Ngondo ngondoigwa ngo…
➤ Written by Diamond Platnumz & Zuchu
Produced by Lizer Classic & Mr LG
Zuchu | Diamond Platnumz | 2020