Lyrics “Nikomeshe” – Dully Sykes feat. Harmonize

Kwacho kwacho kwapa
Wanishika kwa hapa
Kwacho kwacho kwapa
We nishike kwa hapa
She is so fine, anapendeza hata bila vipodozi
Eeh, and I love she giving me over dozi
Eeeh, I love the way you move your body
Eeh eeh body oooh
Unanipandisha midadi
Eeh eeh body ooohEeeh eeh, kachiri kachiri, saga
Inuka funga kanga, kachiri, saga
Matajiri matajiri, saga
Huko wanajipanga matajiri
Basi go down, kwa nyuma
Fanya kama mbuzi amegoma
Slow down kwenye kona, ii
Mwisho wa reli kigoma
Nikomeshe
Mpaka chini waonyeshe
Aah, asa beiby nikomeshe
Fanya kama unadunda, aah unadunda
Mpaka chini waonyeshe
Ebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba
Iii, fanya kama unadunda, aah unadunda
Hebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba
Nasema sikuwatch, beiby nakukunda
Unavyo ilamba mie hoi
Unajuwanga kuni touch
Nani kakufunda, hiyo misamba sikohoiEeeh, waking’ata nakuuliza we
Kwa jiko watenga ni kuunguza kisoi
Yaani tuzidi kuwaumiza we
Naleta washenga tuwaache igizo we
Itafune ing’ate ka Big G
Aaah kama Big G
Kisha nikumbate tujigiji
Aaah tujigiji
Nikomeshe
Mpaka chini waonyeshe
Aah, asa beiby nikomeshe
Fanya kama unadunda, aah unadunda
Mpaka chini waonyeshe
Ebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba
Iii, fanya kama unadunda, aah unadunda
Hebu tulicheze rhumba, aah hilo rhumba
Ebo anafanyaje tena
Analenga, anale, ii
Anaonyesha maufundi
Analenga, anale, ii
Uno la mgambo kama gundi
Analenga, anale
Anafanya kama anapanda juu ya dari
Analenga, anale, ii
Kameinuka kichaa kichaa
Analenga, anale
Eeey, brrr Okey…
➤ Dully Sykes | Harmonize | 2019